Habra na Hadra na Boke Tieko ni kitabu kilichoandikwa kwa kufuata mtindo wa riwaya na kwa ujuzi wa hali ya juu. Yeyote atakayekisoma atasaidika katika matumizi ya fani mbalimbali za lugha ya Kiswahili. Maudhui ya elimu ya mfano wa jadi na kisasa, utamaduni wa Kiafrika, majukumu ya wazazi na watoto (wanafunzi), umaskini, ufisadi, dawa za kulevya, ushauri na malezi bora, zaraa, kilimo-biashara na ndoa pamoja na maudhui mengine yameangaziwa. Vilevile, msomaji atajifaidi na elimu ikiwemo ya zamani na ya kisasa. Atafahamu maisha ya kale na ya kisasa jinsi yanavyotegemeana.

Karibu.

ISBN 978-9914-9890-2-1

Chapatikana kwenye maduka mbalimbali yanayouza vitabu nchini kwa bei ya Kshs 250/-